Wajumbe Mkutano Mkuu CCM Wapiga kura Kumchagua Mgombea Urais

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura za kumpata mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM kwenye ukumbi wa Dodoma Convention Center .
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga kura za kumpata mgombea wa Urais  wa CCM kwenye ukumbi wa Dodoma Convention Center.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) akipiga kura ya kumpata mgombea wa nafasi ya urais kupitia CCM.
 Wazee Maarufu
 Wajumbe wakipiga kura
Share on Google Plus

About Waziri W.Kindamba

WASIFU Mhitimu wa shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara na Shahada ya Benki, Uchumi na Sheria) mwenye ujuzi wa Teknohama na uwezo mkubwa wa kujenga uhusiano aliye tayari kukabaliana na changamoto na kuzitumia fursa zilizopo jimboni . Mwenye uwezo wa kufanya kazi mahali popote aliye na ufahamu wa hali ya juu wa masuala ya Benki, Uchumi, Benki na Sheria za Biashara, Fedha na Stadi za Maendeleo.
    Blogger Comment

0 comments: