
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza
wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu maalum wa CCM ambao utapendekeza
jina la mgombea Urais kupitia CCM

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM kwenye ukumbi mpya wa CCM maarufu
kama Dodoma Convention Center.

Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wakisikiliza hotuba ya Mwenyekiti.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa hotuba kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhutubia wajumbe.

Balozi wa China nchini Mhe.Lu Youqing (katikati) akiwa pamoja na maofisa wake kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM mjini Dodoma.
Kwa hisani ya http://kamerayangu.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment