AboutMe



Wasifu wa Mtia Nia

Waziri Waziri  Kindamba
S.L.P. 16141                                                                                    
Dar es Salaam
Mobile: +255 (0) 686 210 421                                                                                              
              +255 (0) 767 210 420                                                                   
Tanzania. 
Email: drwazer@yahoo.com
                                                                                                                        
WASIFU

Mhitimu wa shahada ya Uzamili  katika  Uongozi wa Biashara na Shahada ya Benki, Uchumi na Sheria) mwenye ujuzi wa Teknohama na uwezo mkubwa wa kujenga uhusiano aliye tayari kukabaliana na changamoto na kuzitumia fursa zilizopo jimboni . Mwenye uwezo wa kufanya kazi mahali popote aliye na ufahamu wa hali ya juu wa masuala ya Benki, Uchumi, Benki na Sheria za Biashara, Fedha na Stadi za Maendeleo.

ELIMU NA SIFA

Chuo Kikuu cha Sunderland – Uingereza
Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara (MBA)

Chuo Kikuu cha London Metropolitan – Uingereza
Shahada ya BA (Hons), Benki, Uchumi na Sheria (Daraja la kwanza)

Chuo Kikuu cha Leicester- Uingereza
Stashahada ya Stadi za Utawala (Benki na Huduma za Fedha)

Sekondari ya Tambaza, Dar es Salaam,  Sekondari ya Azania, Dar es Salaam, Tanzania

KAZI  NA UZOEFU

Diamond Trust Bank (T) Ltd. (Dar es Salaam – Tanzania)
Meneja wa Tawi na Mjumbe wa Timu ya Viongozi Waandamizi , Tawi la Morocco, Kinondoni, Dar es Salaam, tangu mwaka 2011  mpaka sasa.

National Bank of Commerce (NBC), Dar es Salaam – Tanzania) Fraud-Risk Meneja

City Banking and Finance College (London) - Mhadhiri na Mkuu Msaidizi wa Taaluma

NAFASI NA USHIRIKI CCM

Mjumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya ya Ilala-

Mwanachama muanzilishi wa CCM Tawi –London.

UZOEFU WA UONGOZI SHULENI;

Kaka Mkuu – Tambaza Shule ya Sekondari  (2001-2002).

Katibu wa Fedha na Uchumi – Azania Shule ya Sekondari (1997-1998).

Mwenyekiti wa Wanafunzi – Kundi A  (1996-1997).
    Blogger Comment

0 comments: